nina maanisha kuna mijitu humu haiwezi kuweka hoja bila kusema "cc mamaatwitter, cc missmkulya" n.k. nadhani ni kwasababu hoja zao hazina msingi/uzito ndio maana hulazimisha sapoti kutoka kwa watoto wa kike. maana akiungwa mkono na papuchi...wengine hata mponde, mnaonekana mafala tu
Click kwenye hiyo username yangu First Born afu utaona Private message... click hapo andika ujumbe then tutakumbushana kivyetu vyetu.... hakuna atakaeona tunachokidiscuss huko..