Naomba mnipokee!!

Naomba mnipokee!!

Ze propesa

Member
Joined
May 27, 2011
Posts
6
Reaction score
0
Habari zenu ndugu zangu naomba mnikaribishe mdau wenu katika jamii hii. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
haya karibu sana, hapa majungu, matusi na vijembe sio pahala pake. Fikiri kabla ya kuandika, na ni bora uwe mlengo wa kati. Ukipendezwa na hoja kuna button ya ''thanx'' na ''like'' unaweza ukasupply.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom