Naomba mnipokee...

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,149
Reaction score
43,093
Hello wana JF
Nimekuwa guest member tangu mwaka 2008, lakini mwaka 2010 november nikaamua kujiunga rasmi na jamii forums, na leo hii najitambulisha rasmi kwenu kama mwananchama wa JF hivyo basi naomba wana jamvi wote mnipokee nipo tayari kujifunza kutoka kwenu. Naomba mnipokee
 
karib sana. kuna memba waja wazito humu jaribu sana ku control hasira pale unapokerwa au kukereka. asante na karib tena
 
Karibu Manyanza, mi mwenyewe nilicreate account 2007, ila nikawa kama mgeni mpaka December 2010 ndo nikajiunga rasmi, so mgeni sio peke yako tupo wengi...

Nijisike uko nyumbani, kuna mengi ya kujifunza, kama Kloro daktari wetu wa jamii alivosema usiwe na hasira na uta-enjoy sana.....
Humu kuna restaurants za bure na wahudum kila kona...usijali hamna kulipia...hebu pata kwanza kahawa wakati unaangalia menu...:coffee:
 
MANYANZA yamaanisha nini kwa jina hilo?
anyway nisiingilie uhuru wako..............karibu ulingoni eeeh
 
MANYANZA yamaanisha nini kwa jina hilo?
anyway nisiingilie uhuru wako..............karibu ulingoni eeeh

hapana kaka haujaingilia uhuru wangu MANYANZA ni maana yake ni ZIWA VICTORIA haujawahi kusikia watu wanasema Lake Nyanza... ni maana yake ndio hiyo kaka.... natokea pale pale Mwanza
 
karib sana. kuna memba waja wazito humu jaribu sana ku control hasira pale unapokerwa au kukereka. asante na karib tena

hahaa asante mkuu, I appreciate you kila member unajitahidi kumkaribisha, thanks
 

asante mkuu! namkubali sana Klorokwini anajitahidi sana kukaribisha members wapya na kuwatia moyo
 
Karibu sana, ila mbona kama unaonekana mbea mbea hivi. Utakayo yakuta humu, yaache kama yalivyo.
 
Karibu sana, ila mbona kama unaonekana mbea mbea hivi. Utakayo yakuta humu, yaache kama yalivyo.

Mimi Msukuma kaka, dah pole mzee kama nimekusababishia ule BAN lakini nilikuambia wakati unaingia humu JF ulisoma kanuni na taratibu? wasalimie wasandawe
 
Haya sasa karibu ila na dhani maneno ya kloquin kama kuna member wajawazito umeishaanza kuwaona kabla ujakaa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…