No! I can t do that nimepitia mengi sana nilichanganywa akili mwaka wa kwanza sikuwa sawa na matatizo mengine ni Mungu tu alisimama angekuwa mwingine angeacha chuoMbona kama una tulingishia kijana ..
si kwa ubaya hivi wewe ndo yule singo maza mwenye ule uzi nimeusoma mda ivi alete mara moja apaNimekuwa mtu wa kukata tamaa na mawazo kila siku tangu nimeanza chuo sijawahi kufurahi ni kusoma na msongo wa mawazo!
Kila siku iendayo kwa Mungu sijawahi kufurahia ninachokisoma naombeni mnipe moyo au nguvu nikamalizie huu mwaka wa mwisho.
Matokeo yangu naweka hapa chini ya mwaka wa kwanza na wa pili semista 4 ya chini mtahitaji kuzoom!
View attachment 1732491View attachment 1732492
Naomba mnifutie iz results plz
Kwani sisi ndo tulioweka?Naomba mnifutie iz results plz
Waambie moderator waufute huu uziNaomba mnifutie iz results plz