Naomba mnipatie ajira yoyote halali

Naomba mnipatie ajira yoyote halali

ajira imekua tatizo sana ,ila naamini utapata mkuu
 
Mkuu kama hutojali tutafutane ili tusaidiane mawazo ya kazi flani hivi maana hata mimi natafuta kazi kama wewe.
 
Nitashukuru kama tukiwasiliana ili tuwe pamoja tufanye kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom