naomba mnikaribishe


Karibu mkuu...

We Chimbuvu yani umekaa hapo unapiga soga badala ya kumuonesha mgeni chumba na bafu akakoge ?
 
Last edited by a moderator:
Karibu mkuu...

We Chimbuvu yani umekaa hapo unapiga soga badala ya kumuonesha mgeni chumba na bafu akakoge ?

najitolea kumwogesha mgeni akijiandaa kwa ukaguzi wa babu ODM
 
Last edited by a moderator:

karibu, kama ni she nenda kwa babu Asprin, kama ni he kamwone Kongosho ukaguliwe kwanza
 
Last edited by a moderator:
nimeenda kwa jinalake ila inakuja like kutumia text,and nimeenda pale juu kuna sehemu ya poll results na vote now ila bado cjaona sehemu ya kura,nielekeze vzuri

angalia vizuri katika hilo Jedwali lenye majina ya washiriki...
Pembezoni(upande w kushoto) mwa jina la kila mshiriki kuna kama kiduara/kibox...sasa hatua namba moja hakikisha unabofya mara moja tu katika kiduara/kibox kilicho pembeni ya jina charminglady. Baada ya hapo bofya kitufe cha VOTE kumchagua na kuiwakilisha kura yako kwa ajili ya kujumlishwa.

Hivyo ndio kura halali inavyopigwa...
 
Nipo tanga ki matatizo, baada ya jana kupotea stand na kuokotwa na Kailas na kunipeleka kwao na kufungishwa ndoa ya lazima

Hahahahaa...
Sasa ulitoaje penzi? Kwa amani kweli..
GeeCee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…