karibu tena na jisikie uko nyumba yenye kisima cha mengiAhsante sana bro, napenda sana mada zako, kwani nimekuwa nikifatilia sana.
Ki ukweli wewe ni mmoja umenishawishi kuingia humu ili niweze hata kukoment.
Na umekuwa mtu wa kwanza kunikaribisha ubarikiwe mno..