Naomba mnijuze

Feb 20, 2012
93
11
Habr zenu wanaJf, kuna mdogo wangu kafeli form4 ana D 3, sasa kuna chuo nimesikia kinatangazwa radio clouds kinaitwa SAMFELIS kipo maeneo ya Victoria na kimesajiliwa na NACTE. Kama kuna mwanaJF anakifaham kwa undan tafadhali anijuze.
Wenu ktk utumishi Rev Fr KABOKA mchizi
 
What a name for a college! Some-failures!
Sikijui ndugu, ila ongea na dogo. Muambie miaka 10 ijayo kama hatakuwa kaenda shule atakuwaje sijui! Manake wenye digrii moja watakuwa wanauza maembe na kufagia kwenye flyovers, wenye digrii 2 wanasafisha maofisi na restaurants.
 
Maneno yako makali bt ni kweli mana tunapoelekea ni balaa
 
Back
Top Bottom