Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,427
Hahahah babu mpaka sasa kuna pande mbili zinazokaribiana. Wale wasioamini wanatoa kutokuamini kwao kwa kubase kwenye scientific na objective explanation. Kuwa hakuna kitu kama hicho. But wale wanaoamini kuwa kuna vitu kama hivyo very unfortunately wametoa concrete and vivid examples ambayo inahappen katika jamii yetu. Sasa MJ1 bado yuko njia tata.
NN ameeleza issue ya influence..ambayo nami ninaibuy kwa asilimia zote lakini kabla sijaconclude niliomba wale wanaoamini hii kitu watupe mchanganuo wa tabia, namna walivyokuwa wanaishi na hizo characters mbili in terms of ushauri waliokuwa wanawapa, support, na ikiwezekana na ushauri juu ya kutumia mali na fursa mbalimbali walizokuwa wanazipata/kosa wakati wako nao......Sijapata jibu
MJ hao wanaotoa support na ushauri ndo wale wanaoINFLUENCE maendeleo ya wengine kwa juhudi zinazotambulika pande zote.Hii haotokei kwa bahati bali kwa juhudi za mshauri na mshauriwa.
Hawa wengine kinachojalisha ni UWEPO wao tu basi.Ye mwenyewe unaweza kuta sio mjanja kiviiile kwahiyo hawezi kua na mawazo endelezi kwa mfanyabiashara mkubwa ila uwepo wake unabadilisha kila kitu.Alafu kuna wengine wana vyote viwili....sasa hawa ndo wanaweza
kumfanya mtu atoke kwenye 0 mpaka kwenye 100 ndani ya muda mfupi.