Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,589
- 272,327
CV haikuainisha pia Rage alipokuwa fundi cherehani mtaa wa milambo
asante kwa kufichua siri mkuu , hivi kwanini viongozi wote wa simba ni mafundi cherehani ? Mwingine ni wambura .
CV haikuainisha pia Rage alipokuwa fundi cherehani mtaa wa milambo
Mwenyekiti wa Crashwise huyo
asante kwa kufichua siri mkuu , hivi kwanini viongozi wote wa simba ni mafundi cherehani ? Mwingine ni wambura .
Tunaomba CV ya Mbowe,Sugu na Lema pia...usisahau na Msigwa pia
mbona huulizi cv ya kepten komba.Tunaomba CV ya Mbowe,Sugu na Lema pia...usisahau na Msigwa pia
CV haikuainisha pia Rage alipokuwa fundi cherehani mtaa wa milambo
Tunaomba CV ya Mbowe,Sugu na Lema pia...usisahau na Msigwa pia
mbona huulizi cv ya kepten komba.
Nimecheka sana, jamaa aliiba mipira!
Crashwise ni diwani mtarajiwa hapa arusha.
Hivi inawezekana vipi a convicted criminal before the court of law badaye kuja kuwa mtunga SHERIA tena? Something is wrong somewhere?
Yale yale ya Andrew Chenge kuwa na account nje ya nchi, halafu leo mnapa uenyekiti wa kuandika katiba mpya, ambapo kuna pendekezo la maadili ya viongozi mojawapo likiwa kupiga marufuku viongozi kuwa account nje ya nchi?!
Kwa scenario hiyo hapo juu hilo kweli litawezekana. Kweli mtu anaweza kukata mkono unaomlisha?
Basi hiyo ndo dizaini ya watu wa CCM,ujanja wa kijingaaaa kichwani hamna kitu.