Naomba mnijuze CV ya ADEN RAGE

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
Naomba CV ya RAGE kwa kuwa anawezaje kudanganya watu wazima kiasi hiki?Kwa mfano rufaa ya Yondani eti anapeleka rufaa ya mchezaji aliyesaini miezi mitatu mbele,kweli unaweza kupeleka kwa wanaume rufaa kama hiyo, halafu aliwadanganya wanyamwezi ana familia wakampa uenyekiti wa wa wazazi, Rage ana familia gani si mhuni tu, anatumia elimu gani kudanganya watu kiasi hiki? kama ana familia basi labda iko inje ya inchi atakakokimbilia pindi uwongo wake utakapo fubaa.

=====
 
Hii ndiyo taabu ya kumpa Msomali wa kuja uongozi.

Rage Kinana wote ni Maharamia.

Msomali anatuandikia katiba?
Tuna akili kweli sisi?

Akili ni nywele,
Bila shaka ni za kichwani,

Kwa mtaji huu naamini waTanzania tunatumia nywele za kwapani na MERVOOZ(kumradhi) kufikiri.
 
rage ameishia darasa la saba,mi namfahamu sana anakaa tbr mtaa wa liwali ana kijumba cha kizushi pale tbr
 
Rage ana degree ya uhasibu na fedha- MSc acc& Finance (Mogadishu) : Pia ana ACCA (UK), isitoshe Alifanya kazi CDA kama mkurugenzi wa fedha kwenye miaka ya mwanzoni mwa 1980s. Jamaa zipo siyo kitoto.
 
rage ameishia darasa la saba,mi namfahamu sana anakaa tbr mtaa wa liwali ana kijumba cha kizushi pale tbr
Wewe na aliyeleta mada waongo wakubwa rage anaishi mtaa wa rufita, na nyumbani kwake zamani kulikua na Biashara ya hotel maarufu kwa jina la tanzania hotel, oposite na nyumba yake walikua wanapiga muzik tabora jazz!!! Pia ana elimu zaidi ya std VII, kumbuka kuwa aliwahi kuajiriwa CDA kwa nafasi ambayo hata ikitangazwa leo atatakiwa mtu mwenye Masters au zaidi.
Ikiwa una chuki zako weka wazi.....!!
Kumbuka nafasi ya katibu wa FAT na zote alizimudu, kifupi Mhe Rage ni msomi mzuri ktk fani ya uhasibu na course 14 mbalimbali za mipira,


Je unajua moja ya masharti ya vilabu ni kuwa na elimu si chini ya kidato cha nne?? ,

Acha ubaguzi nchi hii in wahindi, warabu, wasomali nk wote wa TZ acha dhambi hii!! itakula wewew na familia yako.
 
ivi huyu rage si miongozi mwa viongozi mapoyoyo kuwahi kuiongoza FAT ya kipindi icho, ambapo aligoma kupeleka jina la YANGA CAF ivyo yanga haikupangwa kwenye ratiba , sikumbuki ulikuwa mwaka gani, huyu jamaa ni mtaalamu wa fitina tu , kwa fitina nampa 100 %...
 

Ni kweli mkuu watu wanapenda kujadili watu na kuwadharau kabla hata hujamjua. Mfano mzuri ni humu JF mtu anakurupuka anakuita kilaza hujasoma wakati hata hajui wewe ni nani, inatia hasira sana!
 
Mleta mada wewe ni sawa na masaburi, wivu wa kike, kichwani umejaa makamasi..kuhusu rufaa waulize TP Mazembe..
 
CV yake kubwa ni kifungo cha mwaka mmoja Segerea baada ya kufisadi FAT
 
Ni kweli mkuu watu wanapenda kujadili watu na kuwadharau kabla hata hujamjua. Mfano mzuri ni humu JF mtu anakurupuka anakuita kilaza hujasoma wakati hata hajui wewe ni nani, inatia hasira sana!
Hata unavyoandika sentensi zako inaonyesha wewe ni kilaza tu na umesoma kwa kuungaunga! Siyo mpaka tukujue wewe ni nani, matendo yako kupitia maandishi ni kipimo tosha cha kujua kama wewe ni kilaza au kipanga! Chezea JF wewe?????!!!!!!!!!!!!!!
 
tatizo si rege tatizo ni wachezaji wetu kuto kuwa na mawakala
 
Duh!!mi simo
 
kama kuna mtu ambaye ana cv ya mbunge Ismail Aden Rage naiomba tafadhali hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…