Betting ni moja ya leviathan mbaya sana unamkuta mtu ana rand 200 hiyo yote anampelekea muhindi kesho hivyo hivyo daah utani sana huo bora home hakuna majengo makubwa ya Betting kaburu kawawekea majengo makubwa aina zote za kamari zipo humo mpaka wamama wanaenda na ni kawaida tu mtoto anapewa karatasi waliyokula akalipie Ada maisha yanaendelea..
Kamari sio ya kuomba kujifunza angalia tu..