SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,986
Watu wa Mungu happy ney year naombeni mnifundishe kubetti nipate hela .
SItaki uchawi nimeokoka naenda chuch .
Please msaada
SItaki uchawi nimeokoka naenda chuch .
Please msaada
kubeti ni kamari nayo pia ni dhambi, lakini unataka kubeti kweli njoo tuweke 2+ tumpige muhindiWatu wa Mungu happy ney year naombeni mnifundishe kubetti nipate hela .
SItaki uchawi nimeokoka naenda chuch .
Please msaada
Nikupe namba ya mtu😅🙌Watu wa Mungu happy ney year naombeni mnifundishe kubetti nipate hela .
SItaki uchawi nimeokoka naenda chuch .
Please msaada
Jamani dhambi zote hizo uogope ya kubeti?kubeti ni kamari nayo pia ni dhambi, lakini unataka kubeti kweli njoo tuweke 2+ tumpige muhindi
sweetycandy kasema ameokoka anaenda church na ananena kwa lugha, asije akaukosa utukufu wa bwana kwasababu ya beti ndio nimefanya kumjulisha kuwa nayo ni dhambi.Jamani dhambi zote hizo uogope ya kubeti?
Una mtoto MMOJA baba yake kaenda wapiWatu wa Mungu happy ney year naombeni mnifundishe kubetti nipate hela .
SItaki uchawi nimeokoka naenda chuch .
Please msaada
Kubadhiri bet siyo dhambi ...mudi boy ni mpuuzi ...ili kitu kiwe dhambi kuna hesabu zake.kubeti ni kamari nayo pia ni dhambi, lakini unataka kubeti kweli njoo tuweke 2+ tumpige muhindi
Kubashiri ni dhambi kwa imani zote za kikistro na ki islam. Kama wewe ni mtu dini kafungue vitabu vyako.Kubadhiri bet siyo dhambi ...mudi boy ni mpuuzi ...ili kitu kiwe dhambi kuna hesabu zake.