karma alvin
Member
- Jan 9, 2013
- 51
- 8
mtu anaposema certified copies of certificates anakua anamaana gan?!
mtu anaposema certified copies of certificates anakua anamaana gan?!
Unatakiwa uvipeleke mahakamani Hakimu anadhibitisha kuwa ni vyako kwa saini. Nenda mahakamani fikia reception waambie nimekuja kucertify vyeti watakuelewa.mtu anaposema certified copies of certificates anakua anamaana gan?!
Unatakiwa uvipeleke mahakamani Hakimu anadhibitisha kuwa ni vyako kwa saini. Nenda mahakamani fikia reception waambie nimekuja kucertify vyeti watakuelewa.
Kopi za Vyeti vyako bana dah!
unaenda na vyeti vyako kopy pamoja na original Mahakama za Wilaya yoyote mfano kisutu, ilala, temeke au kinondoni kwa hakimu yeye anacheck kama ile kopy imetokana na ile original kweli ili aweke muhuri kuwa imetokana na true copy sio ya kufoji ukienda bila original atashindwa kuweka ule muhuri wa true copy kwa vile original hajaiona. Pale ni kushuhudia tu kwamba original ipo. asante.