sina llengo baya la kuharibu naomba unisamehe .
nauliza tu kwanini wanaume wengi huku jf mnapenda sana kuomba hela humu? huna ndugu? ama rafiki? ama kanisa? ama msikiti?
japo nimefulia sana mimi ni muoga sana kumuomba mtu ambae sio rafili yangu hela.huku jf mtu ukizoeana nae siku mbili anakuomba umkope .nyie wakaka mmekuwaje jamani.hamna vifua vya kusolve shida zenu? mtakuja kushare mihogo na sisi.
nakuombea ufanikiwe mkuu ila hii njia unayotumia kwa sasa sio watu huku hawaaminiki tena
Laiti kama ungeleta Thread ya kukejeli serikali au Propaganda ya kisiasa hususani ya kuiponda serikali ungekuwa ushapata COMMENTS 5,000 mpaka sasa
- Au ungekuwa umeshtakiwa kwa kufanya maandamano au kukamatwa kwa kutukana serikali mtandaoni, ungepata msaada wa faster
- Ila kwa kuwa unatafuta msaada wa kujikomboa kiuchumi, hutopata msaada wowote hapa zaidi ya kuambulia KEJELI, MATUSI na NGOJERA kibao
- Anyway, kila la kheri mkuu ila ujue DUNIA na WALIMWENGU ni KATILI

nadhani unawasingizia ndugu zako uongo kwamba hawakuamini .mbona wamekupeleka shule hadi umemaliza form six?Wakuu salaam Nyingi ziwafikie.
Natumai mu wazima wa afya.
Kuna fursa nimeiona huku maeneo yetu ambayo naamini itanisaidia kupata hela ya matumizi madogo madogo ila nakwamishwa na suala la Capital ambapo watu wote huku kuwa na fikra mgando zilizojengwa juu ya walemavu kuwa hakuna mlemavu anayeweza kufany vizuri kwenye eneo ambalo ulemavu wake unaexist hivyo kupelekea Mimi ambaye Nina ulemavu wa kutosikia(deaf) kukosa support itakayo nisaidia kuikamata fursa hii maana hata wazazi wangu nao wanaamin hivyo licha ya Mimi kuwasisitiza kuwa naweza bado ni tatizo tu.
Sasa naona nawachosha kwa background zisizo na msingi ngoja niende straight kwenye maada.
Wakuu naomba Mnisaidie financial assistant kiasi chochote kile ili nipate kufikisha laki 3 ili niingie kwenye hii fursa ambayo inahitaji kianzio kidogo tu ili nipate kuwa financial independent kutoka katika kuwatengemea hawa watu ambao hawaoni matumain yoyote mbelen kutoka kwangu sababu ya imani yao ya kuamini kuwa Mimi siwezi kufanya big things eti kisa Niko impaired in hearing ambayo kiukweli inaniuma sana hasa ninapoona hadi ndugu zangu hawaniamini.
Ila kwenu wanajf mnajua kuwa nothing impossible if you say "iam possible" naomba mnichangie kadri Bwana alivyowajalia nipate huo mtaji ili mnisaidie katika safari yangu ya kujitegemea ambayo inakwamishwa sana na kukosa Capital.
Naomba nisiwachoshe na Uzi mrefu ukiwa na swali waweza kuniuliza ili nikudetail.
"Kutoa ni moyo si utajiri"
nawasilisha.
Buffalo44
sina llengo baya la kuharibu naomba unisamehe .
nauliza tu kwanini wanaume wengi huku jf mnapenda sana kuomba hela humu? huna ndugu? ama rafiki? ama kanisa? ama msikiti?
japo nimefulia sana mimi ni muoga sana kumuomba mtu ambae sio rafili yangu hela.huku jf mtu ukizoeana nae siku mbili anakuomba umkope .nyie wakaka mmekuwaje jamani.hamna vifua vya kusolve shida zenu? mtakuja kushare mihogo na sisi.
nakuombea ufanikiwe mkuu ila hii njia unayotumia kwa sasa sio watu huku hawaaminiki tena
nadhani unawasingizia ndugu zako uongo kwamba hawakuamini .mbona wamekupeleka shule hadi umemaliza form six?
si umemaliza form six juzi ? subiri matokeo upelekwe chuo dogo wasikilize ndugu zako wangekuwa wanakuchukulia negative wangekusomesha?Miss natafuta mitazamo ya watu wengi kwangu ni negative huku nilipo kuna ndugu zangu wamejiweza ila ikija issue kama hii wanaanza kunikatisha eti siskii me kiziwi ntafanyaje ndo maana nikaja huku jf samahani sana.
mimi naona una haraka ya maisha hata ndugu zako hawakupi hela maana wapo right.kumbe una hadi mfadhili wa kukusomesha unataka mungu akupe nini tena?hapa form six mfadhili anahusika ila mama tu ndo amejitahidi kidogo ila we ujue huku kwetu kuanzia kijiji hadi kata tuliofika form six tunahesabiwa kwa vidole tu wengine ni traditionalists
Mimi sina shida ya hela, shida yangu niassist papuchi please!sina llengo baya la kuharibu naomba unisamehe .