Hivi mnapoishi hakuna taasisi hata binafsi za mikopo zenye riba nafuu?Mkuu ukipata huo mkopo nitag na mimi nashida na laki5
Kwanini mkuu najua watu Wazuri bado wapo humu wasifanye hivyo Nina shida mwenzenuMkuu ukipata huo mkopo nitag na mimi nashida na laki5
Hazipo mkuuHivi mnapoishi hakuna taasisi hata binafsi za mikopo zenye riba nafuu?
MhmHazipo mkuu
Hiyo ishirini utawekewa watag watu wakusaidieKwanini mkuu najua watu Wazuri bado wapo humu wasifanye hivyo Nina shida mwenzenu
Sio mara ya kwanza kuona uzi wako wa hivi, ungeomba connection ya hata vibarua ungekata mzizi kabisaKwanini mkuu najua watu Wazuri bado wapo humu wasifanye hivyo Nina shida mwenzenu
MeJinsia yako?.
Siwajui watu hao mkuuHiyo ishirini utawekewa watag watu wakusaidie
Kaka pesa ya mkopo, sio ya kutumia ni ya kufanyia biashara, atajiingiza kwenye matatizo mkuu, Bora hapa anaweza pewa sio kukopesha, pesa ndogo sana hiyooHivi mnapoishi hakuna taasisi hata binafsi za mikopo zenye riba nafuu?
Dada we ni genius na mimi nilitaka niulize hili swali kwanini watu wanaomba 20K pekee huu ni uzi wa 3 watu watatilia mashaka wakidhania ni the same person yule muomba platnumzKuna siri gani kwenye mkopo wa 20K?
Wapi nimesema niyakutumia?Kaka pesa ya mkopo, sio ya kutumia ni ya kufanyia biashara, atajiingiza kwenye matatizo mkuu, Bora hapa anaweza pewa sio kukopesha, pesa ndogo sana hiyoo
Nimemuwakilisha mleta mkeka brooWapi nimesema niyakutumia?