mchanga mchanga
Senior Member
- Jun 13, 2017
- 115
- 82
Kwa heshima na taadhima nawaomba wakuu wangu wa serikali ya awamu ya 5 mfikirie kumpatia kijana wetu Mbwana Ally Samatta mtaa katika jiji la Dodoma, kutokana na mchango wake mkubwa katika soka letu la Tanzania.
Samatta ni balozi wetu pekee kwenye mashindano ya UEFA, michuano mikubwa barani Ulaya. Ameitangaza vyema sana nchi yetu.
Ni Mtanzania pekee ambae ameweza kushiriki michuano hii na kufanikiwa kufunga magoli matatu. Na vilevile ni mchezaji tegemeo wa timu yetu ya Tanzania.
Naamini serikali sikivu itapokea ombi langu.