Naomba Mbowe, Zitto na Tundu Lissu mnisamehe

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Leo nimekuja kuomba samahan kwa viongoz wa chadema na ACT wazalendo Hasa mbowe ZITO na tundulisu Mara nyingi nimekua nikitoa Uzi za kuwa kashfu
Na kufanya siasa chafu juu yao.ya kuto kutoa hoja Bali kufika mbala na kuwakejel

Wao kama wazaz ningeomba wanisamehe nimegundua kua niliwakosea heshima pls naombeni mnisamehe

Pia kuomba kwangu msamaha Sio kwamba nimekubal mapambano Yao hapana ni kwa sababu nimekubal wao ni wakubwa kwangu so napaswa kuwaheshim

Mimi bado ni mzalendo ambae nitaendelea kumpongeza magufuli kwa kazi yake kubwa anayo endelea kuifanya

Asanteni Wana jamiforums
 
Acha ujinga wewe Mimi Sina njaa kwa siku familiar yangu maemezi natumia Zaid ya 20000 io ni kula tu so usinichukulie poa Mimi kuomba msamaha kwa mbowe ZITO na lisu ni kwa sababu nimeona Sio nidham Mimi kutunishiana kifua na watu wanao nishinda
Mkishakula vyakula msivyovitolea jasho ndio mnakuja kuandika maupuuzi huku jukwaani
 
Acha ujinga wewe Mimi Sina njaa kwa siku familiar yangu maemezi natumia Zaid ya 20000 io ni kula tu so usinichukulie poa Mimi kuomba msamaha kwa mbowe ZITO na lisu ni kwa sababu nimeona Sio nidham Mimi kutunishiana kifua na watu wanao nishinda
Acha ushamba wako wewe. Msamaha gani unaomba huku ukiendeleza vijembe na kejeli kwa wengine??
 
Kama wewe ni mmoja wa nilio kuomba msamaha sawa utakua umepuuzwa Ila Kama ni mateka wa ujinga mshenzi mmoja tu napenda nikwambie acha ujinga wewe nilio waomba ndio Wana haki ya kuninyima msamaha wao pu....m. B. We
Msamaha wako umepuuzwa , endelea kutukana matusi wakubwa wako maana tayari Mungu kishakupiga laana
 
Kama wewe ni mmoja wa nilio kuomba msamaha sawa utakua umepuuzwa Ila Kama ni mateka wa ujinga mshenzi mmoja tu napenda nikwambie acha ujinga wewe nilio waomba ndio Wana haki ya kuninyima msamaha wao pu....m. B. We
Dogo, hivi haya matusi yako ni ya kuzaliwa nayo, urithi kutoka kwa wazazi, karama, au ni kipaji?
Naona unayamwaga na kuyamimina bila kukaukiwa, au wewe ndio Dr. Kumbuka?
 
Wao wenyewe wanaongea mbovu bila heshima ndipo tatizo huanzia,wamepata umaarufu kupitia matusi
 
Acha ujinga wewe Mimi Sina njaa kwa siku familiar yangu maemezi natumia Zaid ya 20000 io ni kula tu so usinichukulie poa Mimi kuomba msamaha kwa mbowe ZITO na lisu ni kwa sababu nimeona Sio nidham Mimi kutunishiana kifua na watu wanao nishinda
tumekuuliza unatumia sh ngap
 
Leo nimekuja kuomba samahan kwa viongoz wa chadema na ACT wazalendo Hasa mbowe ZITO na tundulisu Mara nyingi nimekua nikitoa Uzi za kuwa kashfu
Na kufanya siasa chafu juu yao.ya kuto kutoa hoja Bali kufika mbala na kuwakejel

Wao kama wazaz ningeomba wanisamehe nimegundua kua niliwakosea heshima pls naombeni mnisamehe

Pia kuomba kwangu msamaha Sio kwamba nimekubal mapambano Yao hapana ni kwa sababu nimekubal wao ni wakubwa kwangu so napaswa kuwaheshim

Mimi bado ni mzalendo ambae nitaendelea kumpongeza magufuli kwa kazi yake kubwa anayo endelea kuifanya

Asanteni Wana jamiforums
unampongeza Magufuli..... yaani unaipongeza ATM kwa kukutolea pesa yako mwenyewe!
 
Umesamehewa dhambi zako zote......nenda zako IMANI YAKO IMEKUOKOA
 
Back
Top Bottom