Jamani naombeni mnisaidie mbinu za kumsau ex
Yaani nilikuwa nimeshamsau kabisa ila cha ajabu leo nimeshangaa amerudi tena katika moyo wangu nimejikuta na mkumbuka na moyo wangu umekosa furaha kabisa.
Nilijaribu kuongeya naye kuhusu ninavyo jihisi kwa ajili yake ila kibaya zaidi mwenzangu hajali hisia zangu Wala hana mpango wa kurudi. Tena sijui ni fanyeje.
Nimejaribu kutongoza wanawake wengine tena wazuri zaidi yake lakini wapi.