Wakuu baada ya hustling za maisha Dar nataka nikafanye biashara kati ya Dodoma au Manyoni. Nimepata kufanya biashara ya vipodozi (cosmetics) au vifaa vya simu.
Naomba kwa wajuzi wa maeneo hayo je biashara ipi itakuwa inatoka? Na je kati ya Dodoma na Manyoni wapi kidogo pana afadhali.
Tembea na biashara ya phones & accessories. Jikite Dom alafu ukikaa sawa jitanue kwenye wilaya za jirani kama Bai,Manyoni,Gailo n.k kwa kuwasambazia bidhaa kwa bei rafiki kabisa na bidhaa bora.
Tembea na biashara ya phones & accessories.
jikite Dom alafu ukikaa sawa jitanue kwenye wilaya za jirani kama Bai,Manyoni,Gailo n.k kwa kuwasambazia bidhaa kwa bei rafiki kabisa na bidhaa bora.