Oman,
Kwa sasa usiweke mawazo hayo, kwenye uhusiano ni vizuri ukajaribu options zote ili hata ukakapo amua ku move on yeye akirudi kuomba mrudiane utamwambia "bana nilijaribu kila njia ikashindikana sasa im sorry haiwezekani"
Hii itakusaiidia ukiendelea na maisha yako mengine hauta ji feel guilty na utakuwa comfortable na mahusiano yako mapya