Naomba mawazo juu ya project ya kufanya

Usimkatishe tamaa mwenzako, even with 20 m unaweza kufanya biashara ya kueleweka mradi uwe na malengo. Problem ni kama hiyo saving ya Enny ndo anategemea kwa kila kitu kwa sasa. Biashara ya chakula inalipa na unaweza kuanza kwa amount hiyo.

Mpe mchanganao, sio matumaini hewa.
 
Habari za kazi wanajamii. Naomba msaada wenu katika jambo hili.

Nilikuwa nafanya kazi katika mgodi wa North Mara na sasa nimepunguzwa kazi, katika pesa nilizolipwa, na mafao yangu ya nssf pamoja na hela niliokuwa nimeweka Benki nina kama milioni 20,000,000.

Nafikiria biashara ya kuanza ili niweze kuendesha maisha yangu na familia kwa ujumla.

Mchango wenu ni muhimu na una maana kubwa katika suala hili.

Ahsateni.

Enny,

Soma hii thread in vitu vingi sana.. (Click hapo chini)

Mtaji: Million Kumi
 
Back
Top Bottom