Naomba maoni yako!

Sasa naona mawazo ya wengi yameegemea upatikanaji wa HIV kupitia ngono pekeyake! Je kupitia saloon! Je, kama cyo ngono pekeyake ndio njia, hakuna uwezekano wa kuupata hata baada ya kuona kwakupitia njia zingine? Eg. Road accident. Alafu jamani wazazi wetu walipimaga? Hatakama zama zimebadilika?
 
Kuna ubayagani kushughulikia matibabu matibabu ya baadhi ya maradhi pindi yaibukapo? Hata ukifahamu una HIV, yatakayo fuata ni kutibu magonjwa mojamoja . Sasa unang'ang'ania kujua status ili ufanyaje? Au ni utandawazi tu wa milenium ya 21. Mimi hata cjui and i'm not that much defencive!
 
tena hivyo unavyokataa ndo unazidi kumtia hofu.
unakataa kupima je kama ww ni mzima na binti ni mgonjwa?au tayari ww unajijua ni mgonjwa ndo mana hujali.Hata kama ww ni mgonjwa unaweza ukaambukizwa kwa mara ya pili jambo ambalo linaweza kufanya uanze kuugua wkt maambukizi ya kwanza hayakukuletea shida.
kweli elimu juu ya hili janga bado inahitajika zaidi.Naombea binti wa watu ashikilie msimamo wake.
 
Kwahiyo nikikuta anao au mimi ninao ndo basi tena! I never wanted to see the end of this journey! Alafu mimi nikiwanao ndo cntaowa? Au ntatafuta mwenye nao kama kwakutangaza adharani?!

dah!kweli ukiwa peku lazima uchague pa kukanyaga.
 
Kupima HIV has nothing to do with her feelings, ni formality ambayo wote tunatakiwa kuipitia(kama tunajipenda inatubidi tuzijue afya zetu). Kisha mkipima ikitokea mmojawapo anao, mtapanga ni vipi mwenzie atalindwa asiambukizwe na watoto watakao zaliwa(if there will be any) walindwe pia. Huu ndio haswa upendo wa kweli....
FYI: mara nyingi watu wanaoulizauliza je ananipenda? ndo wenye matatizo-kwani ww huoni actions zake? au hujui kusoma alama za nyakati? utaangamia kwenye hizi cku za mwisho! shauri zako!
 
Back
Top Bottom