NAOMBA MAELEZO

Kwa hapa nchini tunapenda kupanga njia zilizonyooka-hivyo diploma ya IT lazima uanzie certificate (levels 4, halafu 5 na mwisho diploma level 6). Kama unaufaulu mzuri F4-basi waweza piga certificate ya Accountancy, halafu ukatumia cheti hicho hicho cha F4 kuomba certificate ya IT hadi Diploma au Diploma direct (DIT na AT) ambayo wanachanganya level zote 4,5 na 6.
Unaweza pia kufikiria kusoma Certificate na Diploma ya Business Information Technology ya UCC ambayo inachanganya courses za IT, Accounting, Finance na masomo mengine ya biashara.
 
Me nmeomba hiyo degree ya business information technology kumbe ndo unasomea na biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…