Naomba maelezo ya picha hii....

huyu 'padiri' atakua kamanda wa vita
 
Hawa watakuwa wapya ndio wanapata maombi kutoka kwa mchungaji
 
Duh, ili zifanye kazi ipasavyo na kazi iliyokusudiwa na mtengenezaji wa silaha hizo
 
Nadhani ni Iraq hapa. Nakumbuka ISIS iliwaua wakristu wengi sana ikabidi nao waandae jeshi ili kupambana na ISIS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…