Naomba maelezo ya hii picha ya Muhongo na Mengi

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
63,458
88,796
kama vile Mwl na mwanafunzi.....!?
13315781_997740923656222_2968469087594834410_n.jpg
 
inaelekea msamiati wa utumbuaji ulianza toka kwa mzee wa Machame! teh teh..
 
Alianza mkapa kushindana na Mengi akashindwa, akaja Jk nae holaaa.
Awamu hii naona Msukuma anamuelewaa.
Mengi hakuwahi shindwa na yyt nchini
 
kama vile Mwl na mwanafunzi.....!?
13315781_997740923656222_2968469087594834410_n.jpg
Safi sana Mengi , we mzee nakuamini tangu kitambo sana , ulinivutia hadi nikaamua kuanzisha kiwanda , wewe ni kiongozi wetu , mueleze Dr Magufuli siri yako iliyokufanya kuwa na wafanyakazi wengi kuliko serikali ya Tanzania .
 
Wafanyakazi kuliko?!.....na bakharesa atasemaje?
 
Mengi ni dalali hilo halina ubishi; ushahidi uko wazi enzi ya Rais mwinyi alitumia kete ya uzawa na akapewa kiwanja ili ajenge makao makuu ya kampuni zake na badala y a kujenga akakiuza kile kiwanja kwa Fidahussein wa Afro Carriers!! Wananchi wametapeliwa fedha zao walizowekeza NICO na huyu huyu Mengi ndio mshauri mkuu wa tapeli Mosha anayekataa mpaka leo kukabidhi mali za Nico kwa wakilishi wa wanahisa ,licha ya kuwa fedha za NICO zilitumika kununua kiwanda kibovu kwa fedha nyingi kilichokuwa mali ya mdogo wake!!
 
Safi sana Mengi , we mzee nakuamini tangu kitambo sana , ulinivutia hadi nikaamua kuanzisha kiwanda , wewe ni kiongozi wetu , mueleze Dr Magufuli siri yako iliyokufanya kuwa na wafanyakazi wengi kuliko serikali ya Tanzania .

Wale vibarua wanaotangaza bila mikataba? Wee unaumwa kweli! Waulize ndugu wa Kina rehema mwakangale!! Ndugu yao amekufa pale wanafuatilia mafao wanaambiwa ndugu yenu hakuwahi kuajiriwa hapa!! hakuwahi kuajiriwa?? wakati kila siku tunamuona kwenye tv?? Wale ni vibarua tuu usichanganywe na vicheko feki na vya kinafiki vya kina gondwe!! Hamna ajira pale....we unadhani kina mirlad ayo kitenge pj mwangasa seba maganga nducha etc ..walikimbia sababu ya nn?
 
Back
Top Bottom