Naona nashindwa kuku pm,ila nilkiwa naomba unitumie kwangu kama itawezkana.kuna jamaa yangu yupo TIA saiv anasoma degree ya procurement ..alisoma Nabe baada ya kupata zero form four mwaka 2008 .....namba yake ya simu ninayo kama ukihitaji niPM nikupe ili umuulize
Naona nashindwa kuku pm,ila nilkiwa naomba unitumie kwangu kama itawezkana.
Ni primay course kwenye taaluma ya biashara pamoja na uhasibu. Inasomwa kwa stage nadhani I - III kama sikosei. Na pia ni kwa wale ambao hawana credit za kutosha japo sio lazima ila sio kweli kama mdau hapo juu kuwa unaweza kusoma ukiwa na div. 0.Ndio hili nisome vzur na kufikia lengo
Hapo nimekuelewa vizuri mkuu,khasante sanaNi primay course kwenye taaluma ya biashara pamoja na uhasibu. Inasomwa kwa stage nadhani I - III kama sikosei. Na pia ni kwa wale ambao hawana credit za kutosha japo sio lazima ila sio kweli kama mdau hapo juu kuwa unaweza kusoma ukiwa na div. 0.
Hivyo ukimaliza hatua uzote unaweza kuchagua chuo chochote cha biashara na au ukajiunga na Bodi nyingine za kitaaluma kama Uhasibu na Ugavi.
mkuu naomba nijuze zaidi kuhusu hii course ya nabekuna jamaa yangu yupo TIA saiv anasoma degree ya procurement ..alisoma Nabe baada ya kupata zero form four mwaka 2008 .....namba yake ya simu ninayo kama ukihitaji niPM nikupe ili umuulize
Khasante.ulifanikiwa
ulifanikiwa mkuuKhasante.