Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 956
Katika eneo nililopo mtandao wa airtel tu ndio unaokamata 3g,lakini kuna rafiki yangu alikuwa anatumia huawei, alikuwa na uwezo wa kukamata 3g ya voda.nikajua itakuwa ni simu.
Sasa hivi amenunua samsung galaxy s2, nayo ina uwezo huo,lakini mimi nikijaribu kwenye simu yangu (iphone 4s) inakataa kushika voda 3g.
Naomba kujua sababu ni nini? Kwa sababu naitamani sana voda.