Jovetic Member Joined Jul 17, 2017 Posts 29 Reaction score 9 Jul 21, 2017 #1 Habari zenu wana jukwaa, Mimi ni muhitimu wa kidato cha 6 mwaka 2017 HGK combinion.Naomba ushauri ni faculty gani ya arts ambayo nikisoma naweza kujiajiri mwenyewe au kuajiriwa? Naomba maelekezo tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wana jukwaa, Mimi ni muhitimu wa kidato cha 6 mwaka 2017 HGK combinion.Naomba ushauri ni faculty gani ya arts ambayo nikisoma naweza kujiajiri mwenyewe au kuajiriwa? Naomba maelekezo tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
monotheist JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 887 Reaction score 1,596 Jul 21, 2017 #2 kasome law
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,914 Reaction score 10,276 Jul 21, 2017 #3 Ungetaja passmark zako ingekuwa rahisi kushauriwa