Naomba maelekezo kuhusu Human Resource Management

Naomba maelekezo kuhusu Human Resource Management

Chale david

Member
Joined
Jun 12, 2023
Posts
51
Reaction score
27
Naombe munieleweshe kuhusu hiya kozi sina idea nayo ila nmepata hiv Geo C kisw C bio C hist C eng D phy D chem D civ D math F

Naomba ushauri niende kozi ya Human Resource Management au nifanyaje maana nimepangiwa uko
 
Naomben kujuzwa kuhusu human resource management
Sawa, ebu jaribu kueleza hata kidogo nini hasa unataka kufahamu kuhusu HR.
Zaidi yawezekana unataka kwenda kusomea taaluma hiyo, lakini mwisho niseme tu kwamba jitahidi kuelezea kile unacho fikiria ili watakao soma hoja zako waweze kuku shauri na ufanye maamuzi yalio sahihi.
 
Naombe munieleweshe kuhusu hiya kozi sina idea nayo ila nmepata hiv Geo C kisw C bio C hist C eng D phy D chem D civ D math F naombe ushaur niende kozi ya human resource management au nifanyaje maana nimepangiwa uko
Kabla haujashauriwa, nivyema kwanza ungesema wewe unapenda kuwa nani hapo baadae.

Hii itarahisisha wazee hapa ndani kukushauri kutokana na ufaulu wako na hata utapata ufafanuzi mzuri kwa kada mbali mbali na itakurahisishia kufanya uchaguzi sahihi wa vyuo pia.
 
Kabla haujashauriwa, nivyema kwanza ungesema wewe unapenda kua nani hapo baadae. Hii itarahisisha wazee hapa ndani kukushauri kutokana na ufaulu wako na hata utapata ufafanuzi mzuri kwa kada mbali mbali na itakurahisishia kufanya uchaguzi sahihi wa vyuo pia.
Mkuu mim kama mim nlikuwa na ndoto ya kwenda advance nkasome hge lakn sasa hp nmezngua kids
 
Na Kati ya accountancy na hr ipi bora
 
Mkuu mim kama mim nlikuwa na ndoto ya kwenda advance nkasome hge lakn sasa hp nmezngua kids
History na Geography si una CC unaweza ukasoma private ama hata Government kama kuna 2nd selection ama appeal za namna yoyote.

Kuhusu Human resource inaweza kuwa Arts ama Biashara, nikiangalia alama zako pengine umepangiwa ya Art, haina soko sana kama ya Biashara, pia sababu hio ni level ya Certificate, pengine baadae Diploma/Degree unaweza jisogeza zaidi kwenye Biashara.
 
Math ungekua na D, HGE ungepangwa, hata hvyo km una nia ya kwenda advance private zipo.

Nwei angalia ndoto yako unataka kua nani hapo baadae.
 
Nmepangiwa ya biashara
Kama ni ya Biashara Komaa, ila double check kama ni Biashara kweli, ukiwa field ya Biashara Course zote kama Uhasibu, marketing, Enterpreneurship, procurement unaweza somea. Hazitofautiani sana.
 
Kama ni ya Biashara Komaa, ila double check kama ni Biashara kweli, ukiwa field ya Biashara Course zote kama Uhasibu, marketing, Enterpreneurship, procurement unaweza somea. Hazitofautiani sana.
Kwaiyo ni somee uhasibu au bussness admis
 
Back
Top Bottom