Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,325
- 46,093
Nimeshafanya hivyo ila sijapata.Copy then.Google translation from English to Swahili
ELECTRO MECHANICAL ENG.
- Education of the fourth form and continuing in other fields including the field of mechanical spare parts manufacturing, automotive engineering, domestic and industrial electricity, IT, automotive electricity and solar electricity;
Hapo kwenye education of the fourth form ndo pamenitatiza mkuu ni level gani hiyo kitaaluma??ELECTRO MECHANICAL ENG.
Elimu ya kidato cha nne na kuendelea katika fani nyingine zikiwemo fani ya utengenezaji wa vipuri vya mitambo, uhandisi wa magari, umeme wa majumbani na viwandani, TEHAMA, umeme wa magari na umeme wa jua.Hapo kwenye education of the fourth form ndo pamenitatiza mkuu ni level gani hiyo kitaaluma??
Elimu ya form four! Mkuu jifue kidogo kwenye lugha ..utumishi usaili ni kwa kingereza!Hapo kwenye education of the fourth form ndo pamenitatiza mkuu ni level gani hiyo kitaaluma??
Form 4Hapo kwenye education of the fourth form ndo pamenitatiza mkuu ni level gani hiyo kitaaluma??
Nimepata maana mkuuForm 4
Kingereza kinanipa changamoto kidogo mkuu, hapo niwe muwazi.Elimu ya form four! Mkuu jifue kidogo kwenye lugha ..utumishi usaili ni kwa kingereza!