Naomba maana ya hii qualification

Naomba maana ya hii qualification

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
20,590
Reaction score
44,409
  • Education of the fourth form and continuing in other fields including the field of mechanical spare parts manufacturing, automotive engineering, domestic and industrial electricity, IT, automotive electricity and solar electricity;
 
ELECTRO MECHANICAL ENG.
 
Hapo kwenye education of the fourth form ndo pamenitatiza mkuu ni level gani hiyo kitaaluma??
Elimu ya kidato cha nne na kuendelea katika fani nyingine zikiwemo fani ya utengenezaji wa vipuri vya mitambo, uhandisi wa magari, umeme wa majumbani na viwandani, TEHAMA, umeme wa magari na umeme wa jua.
 
Hapo kwenye education of the fourth form ndo pamenitatiza mkuu ni level gani hiyo kitaaluma??
Elimu ya form four! Mkuu jifue kidogo kwenye lugha ..utumishi usaili ni kwa kingereza!
 
Elimu ya form four! Mkuu jifue kidogo kwenye lugha ..utumishi usaili ni kwa kingereza!
Kingereza kinanipa changamoto kidogo mkuu, hapo niwe muwazi.
Kuna vitu vikichengwa vinaniacha ila nalifanyia kazi as long as nimejua tatizo na nimekubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom