Naomba lita moja ya kuku

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Gulo na binamu yake Fulo
waliingia kwenye bucha;

GULO: Naomba lita moja ya kuku
wa kizungu...... watu waliokuweko
walipigwa butwaa kidogo kisha
wakaanza kucheka kwa nguvu. Fulo
nae akaanza kucheka mpaka
machozi yakamtoka

GULO: Sasa na wewe Fulo
unanicheka mi mwenzio kwa kosa
gani?

FULO: Nacheka kwa kuwa
umeomba lita moja ya kuku, sasa
huoni tumesahau kuchukua chupa?
Tutawekea wapi? hahahahaha
 
this iz mental disorder! mod be responsible....
 
Jf umejiunga lini wewe dogo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…