Naomba link ya kudownload drop box

Yahya Asaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
244
Reaction score
28
Habari za jioni Naomba msaada nataka kudownlod Dropbox kwenye pc Mwenye link ya dropbox anisaidie Natanguliza shukrani kwenu
 
Ubarikiwe sana bro Wakipatikana km ww 5 Tanzania itakua mpya
::thumbup::
 
bro natumia whattsApp kwenye pc lkn mpaka nifungue bluestack ndio niipate whattsApp
Je hawezekani ikawa kwenye screan kama program nyengine
Nikaweza kufungua kwa urahic
 
bro natumia whattsApp kwenye pc lkn mpaka nifungue bluestack ndio niipate whattsApp
Je hawezekani ikawa kwenye screan kama program nyengine
Nikaweza kufungua kwa urahic

hiyo b.s ndio inaifanya pc yko iwe km android phone. so huwez access whatsapp bila kupitia hiyo
 
Pamoja sana
lkn hawezekani kukaa kwenye screan km program nyengine
Kwasababu mpaka ufungue bluestack ndo utaweza kupaipakua whattsApp
Yani nakusudi hiyo whattsApp iwezi
Kukaa kwenye screan mpaka ufungue bluestack
 
miamia ahsante sana bro B2L
 
Last edited by a moderator:
Vp bro heshima kwako
Kunata tizo naomba link ya Framaroot
 
hizo link unazoomba nyengine sijui unashida gan kusearch ktk google
 
Ndio kk nigoogle cku nyingi lkn nimeshindwa kuidanlod hiyo
Cwezi kuleta kitu km hicho
Ujue nimeshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…