<br />Unatafuta mchumba mazee?Mbona mbwembwe nyingi?Acha hizo wewe.Karibu.
<br />Bhangi ni noma......karibu!!
<br />Ni kweli katavi, Haya karibu bwana D'angelo
hapo unapenda lipi?Jamaniiiiii eeeh haba na haba hujaza kibaba na ukifika ugenini sharti ujitambulishe.....mime mwenzenu ndio kama hivyo.....naomba jamaniiii.....mi ni mwanaume haaaaswaaaa tena wa shokaaaaa.......sijaoa wala sijaolewa tehe tehe tehe.....mabint nipokeen kwa mikono miwili,wazee wenzangu mkono mmoja.....pamoko daima