Nina windows XP ambayo natumia ku-install kwenye PC yangu ambayo intel 32bit processor. sasa nimenunua computer nyingine ambayo proccessor yake ni AMD 64bit mobile. Je naweza kutumia hiyo windows XP ku-install kweye hii processor?
Nashukuruni sana kwa maoni yenu... Je nikiweka hiyo OS 32bit drivers za LAN,wireless, vga si itanibidi ni download za 32... Ngoja ni install then nitawapa jibu.... Mbarikiwe sana wakuu.