Nijuzeni wana JF mwenzen nilibakwa na mtu wa familia, pia nakaribia ndoa ila mwenza wangu sijamwambia ukwel najiskia vibaya ila sitak kuonekana muhuni maana haikua ridhaa yangu
amina ali pole sana unachotakiwa kufanya nikumwambia mwenzio ukweli kuliko ajiaminishe kuwa huko bikra alaf ukaja kumwambia ulibakwa hato kuamini! Ni wakati wako wakuvunja ukimya, kama ana kupenda kweli atakuelewa kwani sidhani kama yeye ana tafuta bikra bali upendo wa kweli!
Na uliberali woote mie naihofia hii process ya kumuambia mwenza. Itakuwa very traumatising. Jamaa atabakia kupata picha na kutaka kuua tu! Natamani asimuambie. Anyamaze tu bila kubold ama kutangaza habari ya bikra. Kwani mkaka kasema yeye bikira?
una umri gn?
Pengine huyo jamaa hakumwambia huyu binti kuwa yeye ni bikra!
Tatizo linapokuja nikwamba inaonekana huyu amina ali alishamwambia mwenzie kuwa yeye nii bikra na baadae akabakwa na ndio maana anapata wasiwasi kama jamaa akigundua kama hana bikra!
Pengine kumueleaza ukweli ni suluhu.
Hili nalo swali. Inavyoonekana jamaa yako amekutosa baada ya kuibanjua-imetoka hiyo mdada-labda uweke ya kichina. Siku nyingine usigawe sukari yako kirahisi namna hiyo.Hivi jamani bikra inaweza kurudi baada ya kukaa mda mrefu bila ya kusex???
Limao? aweke limao kule? Kwa hayo maumivu,mbona ataomba ardhi ipasuke.Ndio.....ikisaidiwa na malimao.....
Nikweli mwanzo nilimwambia kua mimi ni bikra na akaniwekea heshma had sasa hajaniomba sex ila tatizo katkat ya mahusiano yetu ndo nilipata huo mkasa.
Limao? aweke limao kule? Kwa hayo maumivu,mbona ataomba ardhi ipasuke.
Swali la kizushi..ulienjoy kamchezo..? Kalinoga...?
miaka mitatu itabidi uchanganye limao na chumvi......
Sikuenjoy sababu sikua na faham alifanya mitego katka juice
Kwa hiyo alikulewesha.....? Ok....na ulipozinduka ulijisikiaje huko kwa bibi...? Pole lakini....
Nikweli mwanzo nilimwambia kua mimi ni bikra na akaniwekea heshma had sasa hajaniomba sex ila tatizo katkat ya mahusiano yetu ndo nilipata huo mkasa.
Nilijiskia maumiv makali sana