Naomba kuuliza

Naomba kuuliza

Hivi hawa walio kuwa wabunge feki kwa mwavuli wa Chadema, nime waona waki chukua fomu za kugombea ubunge kwa chama cha kijani, huku bunge halija vunjwa, hapa pame kaaje? Au ile tume bado ina wabeba??
Mbeleko la chuma mwanzo mwisho kama wanalobebewa kijani wote.
 
Suala linalohusu ccm hakunaga kufuata sheria... Sheria zinatumika kwa vyama vingne, tena vile vinavyokosoa serikal..
 
Suala linalohusu ccm hakunaga kufuata sheria... Sheria zinatumika kwa vyama vingne, tena vile vinavyokosoa serikal..
Umesema vyema,ccm na wale wa vyama vyake shikizi pekee.Mnaowakamata mikono katika kula kwao kwa urefu wa kamba hamna bahati.
 
Umesema vyema,ccm na wale wa vyama vyake shikizi pekee.Mnaowakamata mikono katika kula kwao kwa urefu wa kamba hamna bahati.
Naam, hutosikia chama cha ubwabwa kikizinguliwa hata siku moja.
Maana ni moja ya tawi lao shikizi..
 
Back
Top Bottom