Mbeleko la chuma mwanzo mwisho kama wanalobebewa kijani wote.Hivi hawa walio kuwa wabunge feki kwa mwavuli wa Chadema, nime waona waki chukua fomu za kugombea ubunge kwa chama cha kijani, huku bunge halija vunjwa, hapa pame kaaje? Au ile tume bado ina wabeba??
Limevyujwa?Limesimama?Fomu zilianza kutolewa baada ya bunge kuvunjwa
...baada ya bunge kuvunjwa"...!Lini?Fomu zilianza kutolewa baada ya bunge kuvunjwa
Umesema vyema,ccm na wale wa vyama vyake shikizi pekee.Mnaowakamata mikono katika kula kwao kwa urefu wa kamba hamna bahati.Suala linalohusu ccm hakunaga kufuata sheria... Sheria zinatumika kwa vyama vingne, tena vile vinavyokosoa serikal..
Naam, hutosikia chama cha ubwabwa kikizinguliwa hata siku moja.Umesema vyema,ccm na wale wa vyama vyake shikizi pekee.Mnaowakamata mikono katika kula kwao kwa urefu wa kamba hamna bahati.