kuna mzigo unataka kusafirisha nini mkuu,kabla hajakupiga kizinga unataka kujihakikishia kabisaNauli kutoka iringa kwenda dodoma ni bei gani?
Hapana ni mm mwenyewe tu kuna kazi naenda kufanya mikoa iyo so nataka kuandaa dodos so nauli ya hapo tu ndio sijajua ila mikoa mingine nimepatakuna mzigo unataka kusafirisha nini mkuu,kabla hajakupiga kizinga unataka kujihakikishia kabisa
Pitia LATRA, nauli zote zipo huko.Hapana ni mm mwenyewe tu kuna kazi naenda kufanya mikoa iyo so nataka kuandaa dodos so nauli ya hapo tu ndio sijajua ila mikoa mingine nimepata
15000Hapana ni mm mwenyewe tu kuna kazi naenda kufanya mikoa iyo so nataka kuandaa dodos so nauli ya hapo tu ndio sijajua ila mikoa mingine nimepata
Ingia LATRA.GO.TZHapana ni mm mwenyewe tu kuna kazi naenda kufanya mikoa iyo so nataka kuandaa dodos so nauli ya hapo tu ndio sijajua ila mikoa mingine nimepata
Asijichanganye akapanda hizo nani kaona 😂😂Nauli ni 15,000/= kwa zile basi zenye injini nyuma mfano Nani Kaona, Malewa, Lwangilo, Mbutta, nk. Ila ujiandae kushinda kutwa nzima kwenye hilo gari. Yaani unapanda saa 2 asubuhi, unafika Dodoma saa 10! Maana hizo chombo kila kituo zinasimama, na hazijawahi kuwa na haraka.
Ukipanda private pale Kihesa kwa Mzee Mgaya, utalipia pia 15,000/=, na utafika mapema Dodoma. (Wastani wa masaa 3 mpaka masaa 3 na nusu hivi.)
Kwa basi kubwa nzuri kama Shabiby, basi jiandae kulipa 18,000/=. Na ukipanda hilo basi, hutaingia kwenye 18 za wale Wamasai wa Migori na Izazi! Ambao kila kituo njia nzima utawakuta wanashuka/wanapanda.
Nauli kutoka iringa kwenda dodoma ni bei gani?