MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Je Kuna kosa gan kutaka kumtafuta ex girlfriend wako, Kwa amani tu Kwa lengo la kumsalimia baada ya yy kukuacha kwa Muda mrefu????
Muache mwenzio amtafute banaaa kammiss dear ExBalance shobo na acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya mtu mwingine.
Unapomtafuta unazidi kumpa fact kuwa alikua sahihi kukuacha.
Kujitaftia sonona bure 😅Muache mwenzio amtafute banaaa kammiss dear Ex
Nyie ndio mnasababisha hadi single mother hawaaminikiJe Kuna kosa gan kutaka kumtafuta ex girlfriend wako, Kwa amani tu Kwa lengo la kumsalimia baada ya yy kukuacha kwa Muda mrefu????
Senge weweBalance shobo na acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya mtu mwingine.
Unapomtafuta unazidi kumpa fact kuwa alikua sahihi kukuacha.

Je Kuna kosa gan kutaka kumtafuta ex girlfriend wako, Kwa amani tu Kwa lengo la kumsalimia baada ya yy kukuacha kwa Muda mrefu????
Kabisa hata mimi huo ujinga sifanyi na nikigundua umeni follow instagram nakublockSipashaaagi makabichiii!!!
Kacheze unapochezaga.
Sijawahi kuchat na na ex,
Mwingine unakuta anakufollow insta napiga block kabisa
ex ni ❌