Naomba kuuliza

Naomba kuuliza

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,454
Hello
Hivi naomba kuuliza kati ya mama mkwe na wifi ni nani hasa anayechangia kuharibu ndoa nyingi za wapendwa wao??
Nawasilisha.
 
Me naona wote (hasa upate visoi)

Utapata mawifi watamshawishi mama yao ndoa uone chungu

Utapata mamkwe akuchukie awashawishi wanawe wakuchuke ili mradi balaa tu
 
Wote iwapo utakua nao vibaya.....

Hakuna hata mmoja atayekusumbua ukiwa na maisha yako bila kuwafatilia wala kuruhusu wakufatilie.

Live your new life with your partner, changamoto zenu iwe watoto wenu sio watoto wa wifi wala shemeji.
 
Kimsingi hakuna jibu la moja kwa moja kwani, inatokea kwa bahati mbaya mtu akutane na hayo mazingira
wakati mwingine aweza kuwa mama mkwe au mawifi au wote kwa pamoja ILA mara nyingi msimamo wa Mwanamme kwa Kushirikiana na Mke wake huya shinda hayo yote
 
hili swali ni la wanawake zaidi, ngoja niwe mpenzi msomaji
 
Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Ukiwa na hekima si mama mkwe wala wifi atakayeweza kuvunja ndoa yako.
 
Mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe co mawif au mama mkwe
 
Sasa sisi wifi na mama mkwe wako tunawajua au we ni zari?
 
Mawifi wanachangia 70% mara nyingi wanapokuja kukutembelea pale huchukua maneno na kupeleka kwa mama yao, Na Mama atawasikiliza watoto wake. Tena usiombee huyo mwanaume ndo awe na vijihela, watakukalia kohoni kila mwez utawaona.
 
Kauli Ya Sisi Wahenga Ni Ndugu Hawawezi Kunifanya Nikosane Na Mke Wangu Na Mke Wangu Hawezi Kunifanya Nikosane Na Ndugu Zangu Shikilia Huo Msimamo Hakuna Atakayeyumbisha Ndoa Yako
 
Back
Top Bottom