Naomba kuuliza

Naomba kuuliza

Kanahiya

New Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Naulizi kuna alisikia habari yoyote humu juu ya walioomba nafasi za Tuico je wameshaitwa katika usaili mimi ni mmoja wao lakini ni miezi imekatika sina taarifa zozote.
 
Tafuta mawasiliano na TUICO maana humu watu wapo busy sana na mambo mengine sijui hata kama utapata jibu sahihi humu
 
TUICO?? nawamind sana wanakula michango halafu hawana mchango wowote
 
tuico nilisikia waliita mwezi wa 8.pole sana kwa kupishana na gari la mshahara
 
Back
Top Bottom