Mdogo angu amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2019 ila amepangiwa katika chuo cha Ushirika cha Moshi ila katika cumpus ya Kizumbi iliyopo Shinyanga.
Swali langu ni kwamba!
Kuna uwezekano wa yeye kuhama huko kizumbi shinyanga na kuja kusomea corse hyo hiyo kwenye main campus ambayo ipo Moshi? Na kama inawezekana utaratibu wake unakuwaje mpaka anakamilisha uhamisho wake?
Shinyanga saizi pamenoga,mwache hapohapo akazane.Kuhama chuo ni shughuli mzito Sana,inahitaji kuwa na hela nyingi ya kuhonga.
Madam Kama ameridhika na kozi,shinyanga ni mahali sahihi tu kwa changamoto za kawaida