MWINUKAOSCAR Member Jun 1, 2012 40 1 Mar 26, 2017 #1 Nini chanzo cha dege dege kwa watoto wadogo. Na dalili zake ni zipi? Huduma ya kwanza ni nini kwa mgonjwa wa degedege?
Nini chanzo cha dege dege kwa watoto wadogo. Na dalili zake ni zipi? Huduma ya kwanza ni nini kwa mgonjwa wa degedege?
MWINUKAOSCAR Member Jun 1, 2012 40 1 Mar 27, 2017 Thread starter #2 Jamani msada wa hilo swali tafadhari
bryan2 JF-Expert Member Jun 8, 2016 3,321 4,671 Mar 27, 2017 #3 Dege dege tunaita Convulsion kitaalamu kuna vitu vingi vinasabisha kama vile.. Homa kali kwa mtoto/febrile convulsion. Sukari kushuka ghafla(hypoglycaemia) Malaria kali(Cerebral malaria) hii hushambulia Ubongo. Meningitis(Homa ya uti wa mgongo na Ubongo) Septicaemia(Maambukizi) UTI Pneumonia kali(Severe Pneumonia) Kifafa(Epilepsy) Cerebral palsy(Matatizo Ya ubongo) Dalili zake...Misuli kukakamaa kwa nguvu sana Kungata Ulimi. Kupata haja ndogo au kubwa ghafla. Homa kali. Matibabu yake Mpeleke hosp wakajue nn chanzo cha hiyo dege dege Dawa za kutuliza kuna Valium/phenorbabitone ila Ni dalili za hatari sana hivyo huna budi kumpeleka Mgonjwa hospital mapema sana
Dege dege tunaita Convulsion kitaalamu kuna vitu vingi vinasabisha kama vile.. Homa kali kwa mtoto/febrile convulsion. Sukari kushuka ghafla(hypoglycaemia) Malaria kali(Cerebral malaria) hii hushambulia Ubongo. Meningitis(Homa ya uti wa mgongo na Ubongo) Septicaemia(Maambukizi) UTI Pneumonia kali(Severe Pneumonia) Kifafa(Epilepsy) Cerebral palsy(Matatizo Ya ubongo) Dalili zake...Misuli kukakamaa kwa nguvu sana Kungata Ulimi. Kupata haja ndogo au kubwa ghafla. Homa kali. Matibabu yake Mpeleke hosp wakajue nn chanzo cha hiyo dege dege Dawa za kutuliza kuna Valium/phenorbabitone ila Ni dalili za hatari sana hivyo huna budi kumpeleka Mgonjwa hospital mapema sana