Naomba kuuliza kuhusu JKT

Gpaghy

Member
Joined
Sep 25, 2021
Posts
47
Reaction score
138
Habari wakuu?? Mm nimemaliza form four, moja kwa moja nikaitwa Kwenda chuo cha ufundi mbeya (MUST) chini ya government sponsorship, nimemaliza miaka 3, diploma yangu ya Mechanics, (FTC), hizi nafasi zote za magereza, police, Takukuru na saiv zima moto, nina vigezo vyote isipokuwa mm sikupita JKT , hapo inakuaje?

Mimi nimeamu kuapply liwalo na Liwe!
 
Same to me!! Hapo itakuwa umekosa kigezo cha kuwa na cheti cha form 6.

Cheti cha JKT wamerekebisha sio lazima.
Pamoja na cheti cha darasa la saba sio lazima.
Kwa form 6 inakuaje?
 
Usijali dogo tulia nitakupa lonja
 
Nimekupa thumbs up na hautopigwa faini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…