HorsePower JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 3,612 Reaction score 2,569 Jun 29, 2011 #1 Nauliza tu Jamani ... What is satan's last name? :music:
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Jun 29, 2011 #2 And what's GOD middle name?!
K Kinabo Member Joined Dec 4, 2006 Posts 75 Reaction score 6 Jun 29, 2011 #3 Namimi nauliza, Unaelewaje juu ya hilo jina?
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Jun 29, 2011 #4 kwani lazma kila mtu/kitu kuwa na last name? kuwa na majina zaidi ya moja ilikuwa mainly kwa ajili ya kusaidia utambuzi. shetani hahitaji hivyo,coz yuko pekee dunia nzima!
kwani lazma kila mtu/kitu kuwa na last name? kuwa na majina zaidi ya moja ilikuwa mainly kwa ajili ya kusaidia utambuzi. shetani hahitaji hivyo,coz yuko pekee dunia nzima!