Wakuu salaam,
Naomba kwa wale wataalamu wa haya mambo
Ni programu ( soft ware) gani inayotumika kutengeneza vitambulisho kwa kutumia kadi ngumu yaani ( smart card) mf leseni za udereva n.k
Pili ni Printa namba ngapi ya EPSON inayoweza kuprinti hizi kadi?
Tafadhali anayefahamu anifahamishe.