Siku ya kutambulisha uchumba wenu ndipo utamvisha pete. Watakuwepo wazazi, ndugu, jamaa na hata viongezi wenu wa dini kama ni waumini safi.
Hayo yakumuita sehemu tulivu umvishe mkiwa wawili yanafanyika bongo muvi pekee lakini sio utaratibu sahihi wa pete ya uchumba.
Unapomvisha mchumba pete naana yake ni kuudhihilishia umma kuwa punde chombo kitapata mmiliki halali hivyo lazima kuwe na mashuhuda.
Sio lazima kuwe na tafrija ila watu muhimu lazima wawepo.