Naomba kusaidiwa hapa

Naomba kusaidiwa hapa

Joined
Jan 14, 2017
Posts
20
Reaction score
4
Wana jamiiforum
e841b36eaf4633d57b7620c13c4460a1.jpg
heri ya Mwaka mpya
Naomba kutolewa tongotongo kidogo,hivi nikitaka kumvika my dearing pete ya uchumba ni lazima nifanye kijisherehe kidogo nialike na watu wachache kuja kushuhudia au naweza tu kumuita mahali patulivu tukiwa wawili then nikapiga goti mbele yake nikamvalisha hiyo pete?
Asanteni
 
Siku ya kutambulisha uchumba wenu ndipo utamvisha pete. Watakuwepo wazazi, ndugu, jamaa na hata viongezi wenu wa dini kama ni waumini safi.
Hayo yakumuita sehemu tulivu umvishe mkiwa wawili yanafanyika bongo muvi pekee lakini sio utaratibu sahihi wa pete ya uchumba.
Unapomvisha mchumba pete naana yake ni kuudhihilishia umma kuwa punde chombo kitapata mmiliki halali hivyo lazima kuwe na mashuhuda.
Sio lazima kuwe na tafrija ila watu muhimu lazima wawepo.
 
huko siriazi mkuu yani wewe ndo upige magoti unavomvika pete mwanamke wako ndo mana hapo badae hua wanaanza dharau kwa sababu kama hizo nakushauri umwambie yeye apige magoti sio wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom